Hii hapa ni makala fupi ya kitaalamu na rahisi kueleweka kuhusu pingili za mgongo: Pingili za Mgongo: Nguzo ya Mwili Wako Pingili za mgongo ni mifupa midogo inayojipanga kama mnyororo kutoka shingoni hadi kiunoni. Kwa jumla, binadamu ana pingili 33, zikiwa zimegawanyika katika sehemu kuu tano: Cervical (Shingo) – pingili 7 Thoracic (Kifua) – pingili 12 Lumbar (Mgongo wa chini) – pingili 5 Sacrum (Nyonga) – pingili 5 zilizoungana Coccyx (Mkia wa mgongo) – pingili 4 zilizoungana Kazi Kuu za Pingili za Mgongo Kutoa muundo kwa mwili na kusaidia mtu kusimama wima. Kulinda uti wa mgongo (spinal cord), ambao hupitisha taarifa za fahamu kutoka ubongo kwenda sehemu zote za mwili. Kuruhusu utembeaji, kuinama na kugeuka bila kuumia. Matatizo Yanayoweza Kuathiri Pingili Maumivu sugu ya mgongo Diski kupasuka (slipped/herniated disc) Uvimbe, ajali, au magonjwa kama arthritis Mishipa kubanwa (nerve compression) Dalili za Matatizo ya Pingili Maumivu yanayoanzia mgongoni hadi miguuni Ganzi au kuwa...
Machapisho
SABABU ZA MWANAUME KUTOA MBEGU NYEPESI
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
JE, NINI KINAFANYA MWANAUME KUTOA SHAHAWA NYEPESI? Mwisho wa makala hii, tayari utakuwa umejua kwanini unapata shahawa nyepesi, kiwango cha mbegu kinachotakiwa kumpa mwanamke mimba, nini cha kufanya ili shahawa zako ziwe nzito na mbegu ziwe nyingi zaidi. JE, NINI MAANA YA SHAHAWA? Shahawa ni majimaji yanayozalishwa wakati na kutolewa wakati mwanaume anapomwaga mbegu kwenye tendo la ndoa. Shahawa zinabeba mbegu na majimaji mengine kutoka kwenye tezi dume. ZIJUE SABABU KUBWA NNE KWA NINI UNATOA SHAHAWA NYEPESI. 1. UPUNGUFU WA MBEGU Sababu kubwa ya shahawa zako kuwa nyepesi ni upungufu wa mbegu(low sperm count). Kitaalamu hujulikana kama oligospermia. Kama una mbegu chache maana yake zipo kidogo kuliko kiwango cha chini kinachohitajika kumpa mwanamke mimba. Mbegu chini ya milioni 15 kwa milliliter ndizo chache sana. BAADHI YA SABABU ZINAZOPELEKEA UWE NA MBEGU CHACHE 1. Kuvimba kwa mishipa midogo ya damu kwenye korodani mpaka kupelekea kushuka uzalishaji wa mbegu 2. Maambu...
MVURUGIKO WA HOMONI
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
*Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake.* Mvurugiko wa homoni kwa wanawake ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke. Tatizo hili pia hujulikana kwa kitaalamu kama Hormonal imbalance. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini kwa sasa kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi kuanzia miaka14.Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe (kuvunja ungo), hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi. Mvurugiko wa homoni kwa wanawake huweza kuchangiwa na kutokuwepo kwa usawa katika homoni zifuatazo; Estrogen, progesterone na testosterone ambapo kuzidi au kupungua kwa homoni hizi hupelekea mvurugiko wa homoni kwa wanawake. *Homoni Ya Estrogen:* Hii ni homoni ya kike muhimu zaidi ambayo hutunzwa kwenye ovari, ini na huwasaidia wanawake wajawazito, ...
LEO NITAZUNGUMZIA KUHUSU TATIZO LA FANGASI
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
FANGASI Fangasi huweza kuishi na kuathiri maeneo mbalimbali ndani ya mwili. Fangasi ni hatari sana, kwani wanaweza kusababisha madhara makubwa ya kiafya na kiakili kama wasipitibiwa mapema. Kuna aina nyingi za fangasi ambao wanaweza kuathiri mwili wa binadamu. Wapo fangasi ambao wanaonekana kwa macho na wengine hawawezi kuonekana. Kuna mamilioni ya aina hizi za fangasi, katika hawa kuna kuna mamia ya aina za fangasi ambazo huweza kumfanya mtu kuumwa. Miongoni mwa maradhi yanayoweza kusababishwa na fangasi ni pamoja nna: 1.Aleji 2.Mapele na maruturutu kwenye ngozi na vidole 3.Maambukizi ya mapafu kama pneumonia ambayo hufanana na mafua au kifua kikuu 4.Maambukizi kwenye mfumo wa damu 5.Kupata ugonjwa wa meningitis huu ni ugonjwa unaoathiri ubongo pamoja na ugwe mgongo. MAENEO AMBAYO FANGASI WANAISHI Fangasi huweza kuishi kwenye maeneo mengi kama 1.Kwenye udongo 2.Hewa 3.Kwenye mimea 4.Kwenye ngozi za watu 5.Na ndani ya miili ya watu AINA ZA FANGASI Fangasi wamegawanyika katika maku...
JINSI KUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
MAMBO SITA YA KUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO Unaposoma kwa ajili ya mtihani ulionao wa maisha. Unaposoma kwa ajili yako mtihani, unaweza kuhisi msongo wa mawazo na kuelemewa na maandalizi yako ya mtihani. Huko peke yako; mfadhaiko ni sehemu ya kawaida ya maisha ya mwanadamu, na mtihani unaweza kukupa wakati mgumu sana. Lakini kuna njia za kudhibiti msongo wa mawazo na kudumisha ustawi wako. Kujiwekea tabia nzuri za kudhibiti mfadhaiko kutachangia ustawi wako wa kisaikolojia na hatimaye utendaji wako katika masomo. 1.Pumua Kitu cha kwanza cha kufanya unapohisi msongo wa mawazo ni kupumua kwa nguvu. Unapoanza kuhisi mfadhaiko, mapigo ya moyo huongezeka, viganja vyako vinatokwa na jasho, na shinikizo la damu huongezeka. Ukivuta pumzi kidogo wakati hisia hii inapoanza, unaweza kudhibiti mapigo ya moyo na kupunguza mfadhaiko mwilini. Baada ya kupumua, kuna mambo mengine unaweza kufanya ili kujisikia vizuri. 2.Weka malengo yanayowezekana Ni muhimu sana kuweka malengo yanayowezekana am...
CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE-TIBA Chango la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia. CHANZO CHA TATIZO Matatizo ya chango la uzazi, inatokana na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries) kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai na kufanya yakue kwa wakati muafaka. Mwanamke mwenye matatizo haya hushindwa kuwa na siku za hatari za kunasa ujauzito na kama zipo basi huwa hazina mpangilio unaoeleweka. DALILI ZA CHANGO LA UZAZI Dalili za chango la uzazi kwa mwanamke ni pamoja na: 🦠 Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi 🦠Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa 🦠Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za hedhi 🦠Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi. 🦠Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi ambapo mwanamke anaweza kuwa na mzunguko mrefu wa hedhi wa takriban s...
TOFAUTI KATI YA PID,UTI PAMOJA NA FANGASI
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
PID sio UTI Wala Fangasi Ni hatari zaidi kuliko unavyofikria UTI ni urinary transmission infection yaani maambukizi kwenye njia ya mkojo Hapa hatari sana usipo itibu inaweza kupelekea changamoto za Figo Changamoto za Figo ndio shida zinazoogopeka maana hapa hakuna ujanja tena Fangasi vilevile huweza kuathiri hasa kwenye uke na mara chache huweza kuenda kuathiri ndani ya kizazi Kumbuka kama mtu hatapata tiba za fangasi na UTI kwa mda mrefu inaweza kupelekea shida hata kwenye mfumo wa uzazi ndani kabisa Vilevile dalili za fangasi, UTI na PID mara nyingi baadhi ya dalili zinafanana ndiomaana wengi hushindwa kutofautisha Kitu ambacho huweza kupelekea kuugua mda mrefu wakitumia tiba za UTI Mwisho madhara yake ndio kama hivyo anajikuta anaambiwa ni PID PID ni pelvic inflammatory diseases yaani maambukizi kwenye via vya uzazi Hapa inahusisha maambukizi tofauti au ni mkusanyiko wa shida za uzazi kama shida za Gonorrhea na magonjwa mengine ya zinaa Haya magonjwa yasipopat...