CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE
UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE-TIBA
Chango la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia.
CHANZO CHA TATIZO
Matatizo ya chango la uzazi, inatokana na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries) kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai na kufanya yakue kwa wakati muafaka.
Mwanamke mwenye matatizo haya hushindwa kuwa na siku za hatari za kunasa ujauzito na kama zipo basi huwa hazina mpangilio unaoeleweka.
DALILI ZA CHANGO LA UZAZI
Dalili za chango la uzazi kwa mwanamke ni pamoja na:
š¦ Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
š¦ Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
š¦ Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za hedhi
š¦ Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
š¦ Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi ambapo mwanamke anaweza kuwa na mzunguko mrefu wa hedhi wa takriban siku 35
š¦ Kubadilikabadilika kwa siku za hedhi
š¦ Kuwa na mzunguko mfupi wa hedhi chini ya siku 21.
š¦ Kuwa na hasira kali anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
š¦ Kupata michubuko sehemu zake za uke
š¦ Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
š¦ Kupata uvimbe kwenye kizazi
š¦ Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.
MADHARA YA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE
1.Vigumu kupata ujauzito na hata pale anaponasa ujauzito, huharibika kwa mimba na kutoka kwa rahisi
2.Kushindwa kufurahia tendo la ndoa ambapo huwa vigumu sana kwa mwanamke mwenye tatizo hili kufika kileleni wakati wa tendo.
Kama unajua unasumbiliwa na tatizo ili kwa muda mrefu Nina dawa za kukutibu ukapona kabisa
Tuwasiliane WhatsAppš wa.me/+255695715467
Kwa Namba ya kupiga +255695715467
Maoni
Chapisha Maoni