TOFAUTI KATI YA PID,UTI PAMOJA NA FANGASI
PID sio UTI Wala Fangasi
Ni hatari zaidi kuliko unavyofikria
UTI ni urinary transmission infection yaani maambukizi kwenye njia ya mkojo
Hapa hatari sana usipo itibu inaweza kupelekea changamoto za Figo
Changamoto za Figo ndio shida zinazoogopeka maana hapa hakuna ujanja tena
Fangasi vilevile huweza kuathiri hasa kwenye uke na mara chache huweza kuenda kuathiri ndani ya kizazi
Kumbuka kama mtu hatapata tiba za fangasi na UTI kwa mda mrefu inaweza kupelekea shida hata kwenye mfumo wa uzazi ndani kabisa
Vilevile dalili za fangasi, UTI na PID mara nyingi baadhi ya dalili zinafanana ndiomaana wengi hushindwa kutofautisha
Kitu ambacho huweza kupelekea kuugua mda mrefu wakitumia tiba za UTI
Mwisho madhara yake ndio kama hivyo anajikuta anaambiwa ni PID
PID ni pelvic inflammatory diseases yaani maambukizi kwenye via vya uzazi
Hapa inahusisha maambukizi tofauti au ni mkusanyiko wa shida za uzazi kama shida za Gonorrhea na magonjwa mengine ya zinaa
Haya magonjwa yasipopatiwa suluhisho ndio husababisha changamoto nyingine kama....
🔹 Mirija kuziba
🔹Mimba kutungwa nje ya mfuko kizazi
🔹 Maumivu ya tumbo yasiyokoma
🔹 Kushindwa kushika ujauzito (ugumba)
🔹Mimba kuharibika Kila mara
🔹 Uvimbe kwenye mayai ovarian cyst
🔹 Saratani ya shingo ya kizazi
Hivyo unapoona dalili za mwanzo kama
🔹uchafu unatoka
🔹 Harufu mbaya ukeni.
🔹 Maumivu ya tumbo.
Na dalili nyingine chukua hatua haraka sana.
KWA MSAADA WA HARAKA NA WAWAKATI PIA KWA CHANGAMOTO MBALI MBALI ZA KIAFYA,
TUPIGE SIMU KWA NAMBA IFUATAYO ☎️☎️☎️☎️
+255695715467
AU AHuwezi kujua mzunguko wako ni wa siku ngapi na siku za hatari ni zipi kwa kuangalia mzunguko wa mwezi mmoja inatakiwa ujitahidi kuhesabu atleast miezi mizunguko mitatu mfululizo kwa note siku za mwezi uliopita ni siku gani uliingia na mwezi uliopoHuwezi kujua mzunguko wako ni wa siku ngapi na siku za hatari ni zipi kwa kuangalia mzunguko wa mwezi mmoja inatakiwa ujitahidi kuhesabu atleast miezi mizunguko mitatu mfululizo kwa note siku za mwezi uliopita ni siku gani uliingia na mwezi uliopo
Maoni
Chapisha Maoni