UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

 DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO 

1:Kupatwa na maumivu ya kuwaka moto tumboni huzidi hasa wakati wa kula na usiku wakati kulala.

2:Kiungulia (heartburn).

3: Tumbo kujaa ges kuvimbiwa.

4: Kujisaidia haja kubwa yenye rangi ya kahawia au nyeusi na harufu mbaya sana na pia yaweza changanyikana na damu.

5: Kupungua uzito.

6: Kupoteza hamu ya kula. 

7: Maumivu ya mgongo na kifua.

8: Chembe moyo.

9: Kuwa na choo kigumu.

10: Kichefuchefu na kutapika na pengine kutapika damu.

11: Kushindwa kupumua vizuri.

12: Kupungukiwa na damu. 

13: Mapigo ya moyo kwenda mbio.

14: Kuhisi kizunguzungu.


 MADHARA YA KUKAA NA VIDONDA VYA TUMBO KWA MUDA MREFU BILA KUFANYA MATIBABU. 


1: Kuvujia kwa damu ndani hali hii anaweza kuijua mgonjwa kwa dalili zifuatazo

               (a) kizunguzungu na Kuhisi kichwa chepesi

               (b) uchovu

               (C) Kupumua kwa shida

               (d)kujisaidia kinyesi chenye rangi ya kahawia au cheusi

               (e) kutapika damu

Kuvujia kwa damu ndani kunaweza kupelekea anaemia na upungufu wa damu ambao unaweza kupelekea mgonjwa kuhitaji kuongezewa damu

2: Matundu katika ukuta wa tumbo.

3: Kansa ya tumbo (gastric cancer).

4: Kuziba kwa njia za chakula hali inayopelekea kushiba haraka, kutapika na kupungua uzito.


MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO.

Matibabu ya vidonda vya tumbo yamegawanyika katika njia mbili

(a) kwa njia ya kisasa,

(b) kwa njia ya asili.


(A) MATIBABU KWA NJIA YA KISASA.


matibabu kwa njia ya kisasa ni matibabu ambayo hutolewa hospitalini huusisha 


Antibiotics - ni dawa ambazo zinauwezo wa kuua Helicobacter pylori   mfano amoxicillin (Amoxil), clarithromycin (Biaxin), metronidazole (Flagyl), tinidazole (Tindamax), tetracycline na levofloxacin.


Proton pump inhibitors PPI - ni dawa ambazo hupunguza uzalishaji wa acid tumboni  na hivyo kuleta nafuu kwa mgonjwa mfano wa PPIs ni Omeprazole, pantoprazole na lansoprazole.


H-2 blockers - ni dawa ambazo hupunguza uzalishaji wa acid tumboni kwa kuzuia uzalishaji wa histamine hivyo kuleta nafuu kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo mfano wa H-2 blockers nifamotidine (Pepcid AC), cimetidine (Tagamet HB) na nizatidine (Axid AR).


Antacids- ni dawa ambazo hubatilisha acids ambayo huzalishwa tumboni hivyo huleta nafuu ya haraka kwa mgonjwa.matibabu mengine ni matibabu ambayo mgonjwa hupewa dawa ambazo zinaulinda ukuta wa tumbo kwa kutengeneza tabaka ambalo linazuia acid kugusa ukuta wa tumbo N.k.


 (B) MATIBABU KWA NJIA YA ASILI. 

Matibabu kwa njia ya asili ni matibabu ambayo yanahusisha utumiaji wa dawa zilitengengenezwa kwa mimea. Zipo dawa nyingi za asili zinazotibu vidonda vya tumbo miongoni mwa dawa hizo ni SUB-STOMACH ULCERS CARE 


FAIDA ZA KUTUMIA SUB-STOMACH ULCERS CARE. 


Sub-Stomach ulcers care

Ni dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba. Dawa hii ipo mfumo wa unga.


1: Sub-stomach ulcers care inauwezo wa kutibu na kuponyesha vidonda vya ndani.


2:Sub-stomach ulcers care inauwezo wa kuua helicopter pylori (  ni aina ya bacteria ambao husababisha vidonda vya tumbo).


3: Sub-stomach ulcers care inauwezo wa kurekebisha na kudhibiti uzalishaji wa  hydrochloric acid tumboni ( ni acid ambayo huzalishwa na ukuta wa tumbo kwa ajili ya kuua vidudu kama vile bacteria n.k.


4: Sub-stomach ulcers care ni dawa ambayo hurudisha uwezo wa ukuta wa tumbo wa kuzalisha makamasi (mucus) kwa wingi . Makamasi (mucus) huizuia hydrochloric acid ambayo huzalishwa tumboni kukutana au kugusana na ukuta wa tumbo.

5: Sub-stomach ulcers care ni dawa ambayo haina madhara kwa mtumiaji wake na ni salama kabisa.

 Matibabu kwa njia ya asili/mbadala ni matibabu ambayo ni rafiki kwa afya na gharama zake ni nafuu.


Tumia Sub-stomach ulcers care kufanya matibabu ya Vidonda vya tumbo. Sub-Stomach ulcers care ni dawa sahihi kwa matibabu ya vidonda vya tumbo na utapona inshaa Allah.


Fanya matibabu haraka ya vidonda vya tumbo ili kuepuka madhara makubwa wasiliana na Dr Lucas kwa ushauri na dawa.


 DR LUCAS

 +255695715467

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

JINSI KUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO

TOFAUTI KATI YA PID,UTI PAMOJA NA FANGASI